Habari za Mastaa

Tazama jinsi Rais Barack Obama alivyowaimbisha ghafla watu kanisani ‘amazing grace’

on

Obama 2Rais wa Marekani Barack Obama alihudhuria ibada ya kuwakumbuka Wamarekani weusi waliouwawa kwa kupigwa risasi siku kadhaa zilizopita wakiwa kanisani.

Obama 3

Waliouwawa kwa risasi kanisani.

Jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments