AyoTV

Interview ya Vanessa Mdee alipokuja kwenye studio za Millard Ayo ! kawataja Tunda Man na Baby J

on

vTunae mwimbaji wa bongofleva Vanessa Mdee kwenye hii post ambaye kapita TZA kwenye studio za Millard Ayo na kuzungumzia mafanikio yake mapya aliyoyapata hivi karibuni nje ya Tanzania.

Kuyafahamu yote hayo naomba bonyeza play kwenye hii video hapa chini…

Jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments