Ajali

Picha 4 za ajali ya gari waliyoipata Nizar Khalfan na Shaban Kado

on


Shaban-Kado-1
Ajali imetokea Bahi Dodoma na kwenye gari miongoni mwa waliokuwemo ni pamoja na golikipa Shaban Kado na mchezaji Nizar Khalfan wa Mwadui FC na chanzo ni tairi la nyuma kuchomoka.

Kwenye interview na millardayo.com Kado amesema hakuna yeyote aliyepoteza maisha isipokuwa majeraha waliyoyapata akiwemo Shaban Kado ambaye ameumia pia mkono wake wa kulia ambapo walikua watu wanne ndani ya gari.

DSC00001

shaban-kado-3

shaban-kado-4

Jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments