Habari za Mastaa

Mabibi na mabwana ! Ali Kiba anayofuraha kutualika kutazama video yake mpya ya ‘Chekecha’

on

Ali KZilipita pichaz na vipisi tu lakini hii ndio video kamili ya Ali Kibachekecha‘ ambayo imefanywa South Africa wiki kadhaa zilizopita… ukishaitazama uache maoni yako kwenye comment Ali Kiba na team yake watapita kuona nini mashabiki wanasema.

ULIMIS KUONA ALI KIBA ALIVYOPANDA DALADALA NA KUULIZWA MASWALI IKIWEMO KUHUSU YEYE NA DIAMOND? TAZAMA KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI……

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments