AyoTV

Maneno ya Mustafa baada ya TV za Kenya kupigwa marufuku kuionyesha hii ya ‘Dodoma Singida’

on

ColonelBaada ya video kama za ‘Nishike’ ya Sauti Sol na ‘You guy’ ya P Unit kufungiwa, headlines za sasa zimeangukia kwa Mustafa Colonel ambaye ni siku za karibuni tu alishikwa na Polisi kwa madai kuwa kwenye hii video kuna Mwanamke ambaye ni nyumba ndogo ya kigogo flani hivyo picha alizopigwa hazitakiwi kuvuja.

Baada ya hayo video ilipotoka kwa ubishi bila picha kufutwa, imefungiwa kuonyeshwa kwenye TV za Kenya kwa sababu imevuka mipaka ya kuzingatia maadili.

Hapa kwenye hii video chini Mustafa kaongea yote ya moyoni kwenye Interview na Millard Ayo.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments