Maajabu

Ni pesa yako tu! utanunua hata hili gari linalotembea barabarani na juu ya maji baharini.

on

GARI LA MAJININi dunia yenye vitu vingi na ubunifu mwingi kwenye kila kona ya kitu unachokijua, yaani kuna watu kila siku wanaumiza vichwa kutengeneza pesa kwa njia ya kiubunifu zaidi ambapo hii ya magari yanayoweza kutembea juu ya maji ni mojawapo.

Watercar ni kampuni ya Marekani ambayo ilianzishwa mwaka 1999 ambapo mwaka 2013 kampuni hii ilitengeneza gari la kwanza la kibiashara.

GARI LA MAJINI 2

GARI LA MAJINI 3

GARI LA MAJINI 4

GARI LA MAJINI 5

GARI LA MAJINI 6

Hii video hapa chini ni ya gari ambalo linaweza kutembea chini ya maji kabisa na ukafika salama huko uendako..

BANZA STONE ALIVYOKANUSHA KIFO NA KUITA WAANDISHI WA HABARI:

nahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments