Maajabu

Video inayoonyesha viwanja hatari vya ndege duniani! tazama ndege zinavyopaa na kutua

on

airportsKuna hatari nyingi sana duniani na hii ni moja ya hizo hatari….. inanishtua hata mimi kuona kiwanja cha ndege kipo pembeni ya bahari yani Pilot akikosea kidogo tu inakua stori nyingine, tazama hii video hapa chini.

LINAH ANA UGOMVI NA WEMA SEPETU? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments