AyoTV

Video: Basil Mramba na Daniel Yona walivyochukuliwa na Polisi kupelekwa gerezani

on

MrambaJuly 6 2015 Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu iliwahukumu mawaziri wa zamani kwenye serikali ya Tanzania awamu ya tatu, kifungo cha miaka mitatu jela pamoja na faini ya milioni 5 baada ya kupatikana na hatia.

Hii video hapa chini itakupa stori kamili kuanzia mwanzo mpaka mwisho baada ya hukumu kutolewa jinsi Basil Mramba na Daniel Yona walivyochukuliwa na polisi, tazama hii video hapa chini.

Ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments