Premier Bet SwahiliFlix Ad Vodacom Ad

AyoTV

Beef ya Producer Manecky na Diamond Platnumz ilivyomalizwa.

on

ManeckyKwa miaka isiyozidi miwili hakukuwa na amani kati ya Producer wa AM Records Manecky na mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz na ni baada ya Manecky kushutumiwa kuvujisha nyimbo za Diamond ambazo hazijakamilika.

Kwenye hii video hapa chini utapata kila kitu jinsi ilivyomalizwa hiyo beef.

Ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments