AyoTV

Maneno ya Diamond Platnumz kuhusu beef, timu za Insta na facebook, uchawi na wanaompigia kura Davido mengine.

on

Diamond PlatnumzDiamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive Interview na XXL ya CloudsFM na kuzungumzia ishu mbalimbali ikiwemo beef na Ali Kiba, team za Instagram ambazo nyingine zimekua zikihamasisha Davido apigiwe kura na mengine.

Ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments