AyoTV

Majibu ya Wema Sepetu kwa waliosema siasa imeingiliwa baada ya yeye kutangaza nia, pia aliyeigiza sauti yake.

on

wm 3Mwigizaji Wema Sepetu alifanya Interview na mtangazaji Millard Ayo kuhusu ishu kadhaa zinazohusu kutangaza kwake kuingia kwenye siasa ambako anagombea viti maalum ambapo amejibu comments za watu waliombeza kwa kusema siasa imevamiwa, nafasi ya juu ya Uongozi aliyowahi kuitamani, aliyeigilizia sauti yake na mengine bonyeza play hapa chini.

Ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments