AyoTV

AyoTV: Lulu amejibu kwanini aliifuta account yake ya Instagram? ni noma je?

on

Lulu 1Mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ alikua na time ya kukaa mbele ya camera ya AyoTV na kuzungumzia ishu kadhaa ikiwemo movie yake mpya inayokuja lakini pia aliulizwa swali la kwanini aliifuta page yake ya Instagram ambayo ilikua ina followers zaidi ya laki tatu.

Ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments