Top Stories

Haya ndio matokeo yaliyotajwa Wagombea watano kwenye Urais kupitia CCM Dodoma

on

CCM

July 10 2015 inaripotiwa taarifa nyingine kutoka Dodoma Tanzania… Watu wengi wamekaa tayari kujua nini ambacho kitaamriwa Dodoma kuhusu Mgombea Urais ambae anateuliwa na CCM kugombea Urais wa Tanzania 2015.

Majina yalikuwa mengi zaidi ya 38, hii ndio list ambayo imetangazwa kuingia Top Five kupitia ukurasa wa Twitter wa CCM @ccm_tanzania

CCM II

Saa chache zilizopita Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye aliongea na waandishi wa habari kwamba majina matano yamewasilishwa Kamati Kuu na majibu itakuwa ni kesho, Team ya millardayo.com iko Dodoma tayari kama kuna taarifa yoyote tofauti utaipata hapahapa mtu wangu.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments