Top Stories

#NewUPDATE Kuhusu mchujo mwingine wa Urais CCM Kinachoendelea sasa hivi.

on

update 2Ni mamilioni ya Watanzania wanasubiria kujua mchujo wa wanaowania Urais CCM umefikia wapi baada ya tano bora kutangazwa saa kadhaa zilizopita ambako wametajwa Bernard Membe, January Makamba, Asharose Migiro, John Magufuli na Amina Salum Ali.

Taarifa za tatu bora ikiwa ni hatua moja kabla ya kumpata wa kuipeperusha bendera ya CCM zimenifikia kwa kuthibitishwa na Twitter page ya CCM kulikoandikwa >>> ‘Mkutano wa NEC unapiga kura hivi sasa kupata Wagombea 3 bora, mkutano mkuu wa taifa utaanza saa tatu usiku

CCM 1ULIIMIS HOTUBA YA RAIS KIKWETE? BONYEZA HAPA CHINI KUIPATA…

CCM II

Top 5.

Ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments