AyoTV

Producer Sheddy Clever kaweka wazi sababu za kumblock na kumuunfollow Rich Mavoko Instagram.

on

SheddySheddy Clever ni producer wa muziki wa bongofleva ambaye mikono yake imehusika kuzisuka kali kama ‘number one‘ ya Diamond, Kerewa ya Shetta ft. Diamond, ‘msambinungwa‘ ya Tunda Man na Ali Kiba, marry me ya Rich Mavoko, Ntampata wapi ya Diamond na nyingine nyingi.

Rich Mavoko

Rich Mavoko

Umemuona kwenye hii post baada ya kuamua kuyasema yake ya moyoni pamoja na stori yake kwa ufupi ambayo watu wengi wanaoipenda bongofleva hawaijui, pia kwenye hii video hapa chini amezungumzia maamuzi yake magumu ya kumblock Rich Mavoko kwenye mtandao wa Instagram na Whatsapp.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Timbulo

Timbulo

Soma na hizi

Tupia Comments