AyoTV

AyoTV: Dakika 5 za jengo jipya la CCM Dodoma lililojengwa na Wachina.

on

ccmJuly 2015 chama cha Mapinduzi CCM kililionyesha kwa mara ya kwanza jengo lao jipya lililojengwa Dodoma ambalo litakua likitumika kwa mikutano mbalimbali, ujenzi wake ulikwenda kimyakimya chini ya usimamizi wa Wachina.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments