AyoTV

AyoTV: Maneno ya kwanza aliyoyatoa Dar es salaam Dr. John Magufuli baada ya kuteuliwa kuwania Urais

on

Magufuli 1Kikao cha Halmashauri Kuu CCM Dodoma kikiongozwa na Mwenyekiti Rais Kikwete kilipitisha jina la Waziri wa Ujenzi Dk. John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais kwenye uchaguzi mkuu Tanzania 2015 ambapo baada ya kutoka Dodoma alirudi Dar es salaam na kukutana na Wananchi Dodoma.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments