AyoTV

Video ya Diamond alivyowajibu Waandishi kwenye press ya MTV Awards 2015 hapa Durban South Africa.

on

Diamond 3Kwenye Press conference hapa Durban South Africa Waandishi wa habari wa nchi mbalimbali Afrika na hata wengine wa Uingereza walikua wakihoji mastaa mbalimbali wanaohusika kwenye tuzo hizi akiwemo Diamond Platnumz, Neyo, P Square na wengine ambapo Diamond alijibu maswali kwa kujiamini na kuelezea mambo mbalimbali kwenye hii video hapa chini.

ULIMIS KUONA YA DIAMOND ALIVYOCHUKUA TUZO 3 CHANNEL O MWAKA 2014? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments