AyoTV

Wakati tuzo za MTV ni leo, tujikumbushe za Channel O 2014 Diamond alikoshinda 3.

on

Diamond 4November 30 2014 Diamond Platnumz alishinda tuzo tatu za kituo kikubwa cha TV Africa (Channel O) tuzo ambazo zilitolewa Johannesburg South Africa ambapo Diamond wa Tanzania na rapper Casper Nyovest wa South Africa ndio wasanii pekee walioshinda tuzo nyingi kwa kila mmoja kuondoka na tatu.

Diamond alishinda tuzo ya Most Gifted Newcomer, Most Gifted Afro Pop Video na Most Gifted East Video…… tazama hii video hapa chini ujionee ilivyokuwa kuanzia kwenye red carpet mpaka ndani na baada ya ushindi.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments