HekaHeka

Mama anayedaiwa kumuacha mwanae peke yake asubuhi hadi usiku kila siku

on

Hekaheka ya leo August 7, 2017 inamuhusu mama ambaye analalamikiwa na majirani akidaiwa kumuacha mtoto wa miaka mitatu mtaani kuanzia saa 12 Asubuhi hadi saa 3 Usiku bila kujua anakula wapi wala anacheza wapi.

Mama huyo amelalamikiwa na majirani ambao wanasema amekuwa akimuachia mtoto huyo Tsh. 1000 huku akidai kumuacha mtoto huyo kwa mama muuza mboga ambaye pia hashindi nyumbani.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza mkasa mzima..

HEKAHEKA: Baba amfunga mwanawe kamba na kumfungia ndani siku nzima

Soma na hizi

Tupia Comments