AyoTV

Waziri Nape kuhusu uingizwaji wa filamu za nje (+Audio)

on

Baada ya headlines za uingizwaji filamu za nje kuzidi kuchukua nafasi, waziri wa Habari Sanaa utamaduni na michezo Nape Moses Nnauye ameweka wazi kuwa hana ugomvi wala hapingi uingizwaji wa filamu kutoka nje, ila anachokitaka ni wahusika kufuata utaratibu wa uingizwaji wa filamu hizo nchini.

“Sio kwamba nataka filamu za nje zisiingie kabisa hapa haiwezekani, ugomvi wangu na ugomvi wa serikali tunazo sheria ambazo kwa sasa ndio zinasimamia utaratibu wa kuingiza na kuuza filamu kutoka nje, unatakiwa filamu yako uipeleke bodi ya filamu kama ya ndani au nje” 

FULL HD: All goals N’gaya vs Yanga February 12 2017, Full Time 1-5

Soma na hizi

Tupia Comments