Top Stories

Bibi ashusha maombi kwa Magufuli “nastaafu sasaivi napeleka fomu” (+video)

on

Frida John ni Muuguzi katika Kituo cha Afya cha Kaloleni ambapo baada ya Rais Magufuli kutoa kauli kuhusu kikokotoo amezungumza nakusema anakaribia kustaafu na hivyo amepanga nyumba mjini na anatarajia fedha atakayoipata ataitumia kumalizia nyumba yake.

Frida anatuambia “Naelekea miaka 60 mwaka huu, nakaribia kwenda Kijijini kuanza maisha mapya, hizo hela nategemea kwenda kuwasomesha watoto wangu, niliahirisha kukabidhi fomu ya kustaafu baadaa ya kusikia kikokotoo kipya”

UVCCM ARUSHA YATOA TAMKO “2020 ATAKAYEMPINGA JPM TUTAMSHUGHULIKIA”

Soma na hizi

Tupia Comments