Habari za Mastaa

Diamond Platnumz na Rais Kikwete wameshinda hizi tuzo Afrika Kusini. (African Achievers awards)

on

SK 1Ni siku saba tu zimepita toka mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz ashinde tuzo ya BEST LIVE ACT kwenye tuzo zilizotolewa na MTV BASE AFRICA Durban Afrika Kusini.

Usiku wa July 25 2015 Diamond ameshinda tuzo nyingine kwenye tuzo za AFRICAN ACHIEVERS AWARDS 2015 zilizotolewa Afrika Kusini ambako pia Diamond alihudhuria.

sk 12

Location kulikotolewa tuzo zenyewe Johannesburg South Africa.

Meneja wake aitwae Salam ndio alikua wa kwanza kuwafahamisha Watanzania kupitia page yake ya twitter ambapo Mtanzania mwingine aliyeshinda tuzo kwenye usiku huu ni Rais Jakaya Kikwete aliyeshinda tuzo ya Uongozi bora na ikapokelewa na Dr. Asharose Migiro huku Diamond akichukua ya Artist of the Year kwa mujibu wa Salam.

SK 2Tuzo hizi zimekua zikitolewa kwenye mataifa mbalimbali, mwaka huu 2015 zimetolewa Johannesburg South Africa huku za mwaka 2013 zikitolewa Nairobi Kenya, za mwaka 2014 zilitolewa Accra Ghana.

sk 14Ni tuzo ambazo zimekua zikitambua michango mbalimbali ya watu mbalimbali waliofanya bidii au kuleta mabadiliko kwenye jamii yao na zimekua zikitolewa kwenye vipengele mbalimbali kama kwa kampuni za simu, Mwanamichezo wa mwaka, Mwandishi wa habari wa mwaka, Kiongozi bora wa mwaka na nyingine.

VIDEO FUPI YA DIAMOND AKIONGEA BAADA YA KUPOKEA TUZO

And I love you more???? #AfricanAchieversAwards #AfricanArtistOfTheYear #SoProudOfYou

A video posted by Zari (@zarithebosslady) on

SK 3Ni tuzo ambazo zimetolewa kwa kufata pia mfumo wa kupiga kura ambapo kwenye website yao walitoa nafasi ya mtu kujaza fomu kuhusu na kumpigia kura anaemkubali kwenye vipengele hivi hapa chini.

sk 5

sk 13 sk 6 sk 7 sk 8 sk 9 sk 10Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments