AyoTV

Hii ndio mipango ya Chege 2015 !! amezinusa headline za Afrika

on

Chege 1Malengo ya Chege yameendelea kuvuka mipaka na sasa lengo lake analofanyia kazi ni kutaka kuvuka mipaka na kuziunganisha nchi mbalimbali za Afrika kuupokea na kuushabikia muziki wake, muziki anaoufanya hataki uishie Kenya na ndio maana kasafiri mpaka South Africa.

Tazama hapa chini hii Exclusive ya Chege na AyoTV South Africa.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments