AyoTV

Full Video ya jinsi Wema Sepetu alivyopokelewa Dar akitokea Singida alikoukosa Ubunge.

on

WMMwigizaji Wema Sepetu alikua miongoni mwa wanaoutaka Ubunge wa viti maalum 2015 lakini mwisho wa matokeo kura zake hazikutosha kwenye nafasi hiyo Singida, akashika nafasi ya nne kati ya wagombea 13, pamoja na kuukosa Ubunge alipokewa kwa shangwe wakati aliporudi Dar es salaam akitokea Singida July 26 2015.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments