AyoTV

AyoTV ilivyowanasa Nikki Mbishi, Nikki wa II, Roma, Stamina, Kingzilla na wengine kwenye RAP FESTIVAL Dsm

on

Rap FestivalMchongo wa Rap Festival ulikamilishwa Weekend iliyopita Dar live Dar es salaam ambapo mastaa wa hiphop kama Roma, Stamina, Izzo B, Godzilla, Nikki Mbishi na Nikki wa II walionyesha uwezo wao kwenye stage.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments