AyoTV

Full video ya Lowassa akitangaza kuhamia CHADEMA !

on

3X6A9467Waziri mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa July 28 2015 Bahari beach Dar es salaam alitangaza maamuzi yake mapya ya kukihama chama cha mapinduzi CCM na kujiunga na CHADEMA ambacho kipo kwenye muungano wa UKAWA.

Hii hapa chini ni full video ya Lowassa akitangaza hayo maamuzi yake mapya.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments