AyoTV

Full video ya kilichosemwa na CCM siku moja baada ya Lowassa kuhamia CHADEMA.

on

ccmChama cha mapinduzi (CCM) kilikutana na Waandishi wa habari July 29 2015 Dar es salaam ikiwa ni siku moja tu baada ya Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa kutangaza kukihama chama hicho na kuhamia CHADEMA ambayo ipo kwenye umoja wa UKAWA.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments