fB insta twitter

Mtandao wa Twitter umemtambua rasmi John Pombe Magufuli.

on

SAN FRANCISCO, CA - OCTOBER 25: A sign is posted outside of the Twitter headquarters on October 25, 2013 in San Francisco, California. Twitter announced that it has set a price range for its initial public offering between $17 and $20 per share and hopes to sell 70 million shares. (Photo by Justin Sullivan/Getty Images)

.

Ni waziri ambaye amekua akisifika na kusikika kwenye headlines mbalimbali na rekodi zake za ufanyaji kazi kwa long time lakini kwa kipindi chote hicho hajawahi kuwa na account yoyote kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook Twitter au Instagram ambayo ina nguvu kubwa sana kwenye ulimwengu wa sasa.

Baada ya kuteuliwa na CCM kuwania Urais kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015, Dr. Magufuli amefunguliwa account ya twitter kwa mara ya kwanza na imekua verfied, yani imeidhinishwa au kugongewa muhuri maalum ambao hugongewa watu wachache duniani wanaokidhi vigezo vinavyotakiwa na makao makuu ya mtandao huu nchini Marekani kama inavyoonekana kwenye hii picha hapa chini.

MagufuliMpaka usiku wa July 29 2015 Account ya Dr. John Magufuli ilikua na followers 8333,tweets zikiwa tisa huku wakiwa ni watu 10 anaowafollow ambao ni UN, Mbunge wa Kigamboni Faustine Ndugulile, Mbunge wa Singida mjini Mohamed Dewji, CCM Youth league, Mawaziri Bernard Membe na Lazaro Nyalandu pamoja na Rais Jakaya Kikwete.

Hizi hapa chini ni baadhi ya tweets zilizoandikwa kwenye page hii mpaka sasa ambapo mpaka July 29 2015, tweet yake ya mwisho iliandikwa July 26 2015.

Magufuli 3

Magufuli 4

Magufuli 5

Magufuli 6Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments