Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Maelezo yaliyotolewa na Polisi Dodoma kuhusu Naibu spika Job Ndugai kumpiga mtu mpaka akazimia.
Share
Notification Show More
Latest News
Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’
August 14, 2022
Baada ya kipigo Ahmed Ally atoa kauli ya faraja kwa Wana Simba ‘Tunapitia maumivu makali mno’
August 14, 2022
Picha:Makamu wa Rais Philip Mpango ashiriki Marathon CRDB Bank 2022
August 14, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022
August 14, 2022
Maneno ya Manara kuelekea Mchezo wa Yanga na Simba leo, “Nendeni mkapiganie Jezi na jina la Club’
August 13, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > beef > Maelezo yaliyotolewa na Polisi Dodoma kuhusu Naibu spika Job Ndugai kumpiga mtu mpaka akazimia.
beefTop Stories

Maelezo yaliyotolewa na Polisi Dodoma kuhusu Naibu spika Job Ndugai kumpiga mtu mpaka akazimia.

July 30, 2015
Share
1 Min Read
SHARE

Ndugai 1Stori ilianza kusambaa kuanzia July 28 2015 kwamba Naibu spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Job Ndugai amempiga mtu mpaka akazimia na kisha baadae kufariki.

Hili tukio limefanya mpaka millardayo.com imtafute kamanda wa Polisi Dodoma Kamishna msaidizi mwandamiz wa Polisi David Misime ambaye ameyathibitisha haya >>> ‘Ukweli nilionao mimi ni kwamba tarehe 28 2015 jioni Joseph Elieza Chilongale alifika kwenye kituo cha Polisi Kongwa Dodoma akilalamika kuwa wakiwa kwenye mkutano wa kujinadi kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Ubunge jimbo la Kongwa kupitia CCM, alipigwa kwa kutumia fimbo kichwani na tumboni na Job Ndugai‘

‘Baada ya kutoa taarifa hiyo alipewa PF3 na akapelekwa Hospitali ambako amelazwa, tunachofanya ni kuendelea na uchunguzi kwa kupata maelezo kutoka kwenye eneo la tukio kutoka kwa watu waliokuwepo pale na baada ya kukamilisha upelelezi tutafikisha jalada kwa Mwanasheria wa serikali aelekeze hatua za kuchukua‘ – Kamanda Misime.

Kuhusu taarifa kwamba Joseph amefariki, Kamanda Misime amesema ‘hizo taarifa sio za kweli sababu mkuu wa Upelelezi wilaya ya Kongwa muda mfupi uliopita alikua pale Hospitali kuchukua maelezo yake kwa ajili ya kukamilisha upelelezi‘

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

You Might Also Like

Picha:Makamu wa Rais Philip Mpango ashiriki Marathon CRDB Bank 2022

Mauaji Moro: Mume amnyonga Mkewe na mtoto, Kaka wa Marehemu afunguka

Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

TAGGED: beef, Dodoma
Millard Ayo July 30, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Lowassa kuchukua fomu ya Urais, Pius Msekwa ashangazwa, Ndugai matatani!! Zisikilize hapa. (Audio)
Next Article Tundu Lissu kayaongea yote ya Lowassa.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Aziz Ki Mfalme mpya town, mchezo dhidi ya Simba SC ya dhihirissha ubora wake, ‘Jemedari amwagia sifa’
Sports August 14, 2022
Baada ya kipigo Ahmed Ally atoa kauli ya faraja kwa Wana Simba ‘Tunapitia maumivu makali mno’
Sports August 14, 2022
Picha:Makamu wa Rais Philip Mpango ashiriki Marathon CRDB Bank 2022
Top Stories August 14, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022
Magazeti August 14, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022

August 12, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 11, 2022

August 11, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 10, 2022

August 10, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 9, 2022

August 9, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?