Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

AyoTV

Tundu Lissu kayaongea yote ya Lowassa.

on

LISUMbunge Tundu Lissu ambaye pia ni Mwanasheria wa CHADEMA alikutana na ripota Fredy Mwakikato wa TZA (millardayo.com & AyoTV) na kuzungumzia ishu kadhaa ikiwemo ya Lowassa kujiunga na CHADEMA.

Tazama hii video hapa chini uone yote aliyoyasema Tundu Lissu.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments