AyoTV

Full video ya Lowassa alivyowasili kuchukua fomu ya Urais CHADEMA.

on

LowassaNi muendelezo wa vichwa vya habari kumuhusu Edward Lowassa, Mbunge wa Monduli lakini pia Waziri mkuu wa zamani ambaye July 28 2015 alihamia rasmi CHADEMA akitokea chama cha CCM, July 30 2015 alijitokeza na kwenda kuchukua fomu ya kugombea Urais, itazame video yenyewe na alivyopokelewa hapa chini…

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments