AyoTV

AyoTV ilichonasa kwenye msafara wa Lowassa baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais.

on

LWHii ni wakati Edward Lowassa alipochukua fomu ya kugombea Urais kupitia CHADEMA ambapo wafuasi wa chama hicho walimsindikiza kwa msafara kutokea makao makuu ya CHADEMA Kinondoni mpaka ofisini kwake Mikocheni Dar es salaam, zaidi jionee mwenyewe ilivyokua kwenye hii video hapa chini.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments