AyoTV

Mchungaji Mtikila hajachelewesha, kachukua fomu ya Urais leo na kuyasema haya kwenye hii video

on

Screen Shot 2015-08-01 at 3.16.07 PMMaalum kwa ajili ya Mchungaji Christopher Mtikila ambaye na yeye anagombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2015 kupitia chama cha DP ambapo leo alikwenda kuchukua fomu yake ya Urais kwenye ofisi za tume ya taifa ya uchaguzi na baada ya kuichukua akaamua kuyazungumza haya hapa chini kwenye hii video.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments