TBT

Hii ni picha ya John Pombe Magufuli miaka 40 iliyopita akiwa shule.

on

MagufuliAlizaliwa mwaka October 29 1959 kwahiyo umri wake ni miaka 55 akiwa na headlines nyingi za uongozi alioanza nao mwaka 1995 alipokuwa pia naibu waziri wa kazi na leo hii ndiye mgombea Urais wa Tanzania 2015 kupitia chama cha mapinduzi CCM.

Hii picha yake hapa chini ni ya miaka 40 iliyopita akiwa Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Katoke Seminari March 1975, sura imepotea au yuleyule?

TBT John Pombe Magufuli pic released July 26 2015PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments