Habari za Mastaa

Ni sauti ya Nuh Mziwanda na Wema Sepetu wanaongelea mapenzi? Hii hapa kwa Soudy Brown… #UHeard (Audio)

on

NUH & SHISHI

Kuna sauti ambayo imerekodiwa na kinachosikika ni sauti ya mwanamke na mwanaume wakijibizana, waliotajwa kwamba ndio wanaosikika kwenye sauti hiyo ni Nuh Mziwanda na Wema Sepetu, imemfikia Soudy Brown tayari !!

Soudy Brown anasema sauti hiyo ilirekodiwa usiku mmoja kabla ya Tuzo za KTMA, na baada ya ishu kuwafikia wote wawili yani Nuh na mpenzi wake Shilole haijulikani nini kinaendelea kati yao kwa sasa.

Sauti yote iko hapa mtu wangu, ukiplay utawasikia wote ilivyokuwa kwenye U Heard August 03 2015

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments