Mix

Dakika tisa za Freeman Mbowe kuhusu Dk. Slaa kutoonekana Vikao vya CHADEMA… (+Video)

on

Mbowe II

Toka July 28 2015 siku ambayo Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli Edward Ngoyai Lowassa alitambulishwa kujiunga CHADEMA na kukabidhiwa Kadi ya Chama hicho, zikaanza kuandikwa headlines Magazetini baada ya kutoonekana kwa Dk. Slaa katika Vikao mbalimbali vya Chama hicho.

SLAAAlichokisema Freeman Mbowe kipo ukibonyeza play hapa chini..

Ulipitwa na Video ya mapokezi ya Lowassa CHADEMA? Nayo hii hapa, ukiplay utayapata yote aliyoyasema.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments