Magazeti

Polisi auawa, Majambazi waliopata ajali? Ni Lowassa, Duni na Magufuli? Mawaziri walioanguka Ubunge? (Audio)

on

Trending

Siasa bado zina uzito wake mtu wangu, iko stori ya Mbunge wa Monduli Edward Lowassa na Juma Duni Haji wamepitishwa kugombea Urais kuwakilisha UKAWA 2015, Mawaziri Gaudensia Kabaka na Nyambari Nyangwine wameshindwa katika Kura za Maoni Tarime… Iko stori kuhusu Polisi kuuawa kwa kupigwa Risasi nyumbani kwake Dar na watu wasiofahamika.

Uchambuzi umegusa pia stori kuhusu tukio la Ujambazi Mbeya ambapo Majambazi wanne wameuawa baada ya kufanya Uhalifu, walizidiwa nguvu na Polisi baada ya gari lao kupata ajali… Rufaa ya Kesi ya Mawaziri Daniel Yona na Basil Mramba inaanza kusikilizwa leo Mahakama Kuu Dar, pia mipango ya Mazishi ya Mzee Peter Kisumo inaendelea ambapo watu watapata nafasi ya kuaga mwili wa Mzee huyo muasisi wa TANU.

Rais JK amesaini Sheria ya Gesi na Mafuta TZ. Kama unahitaji kusikiliza Uchambuzi wa stori zote unaweza kubonyeza play hapa mtu wangu.

Soma na hizi

Tupia Comments