Habari za Mastaa

Wizkid ndio kashatoboa Marekani !! Wacheki Alicia Keys na Swizz Beatz walivyomkubali..(+Video)

on

ALICIA

Wasanii wa Nigeria wamekuwa kwenye Headlines sana kupasua njia ya muziki wao kwenye soko la dunia, huwa tunasikia sana Wasanii wakubwa wa Marekani wakija Africa wanaongea kabisa kwamba hawakutegemea kuikuta Afrika waliyoishuhudia !!

Ni mastaa wachache pia wanawajua mastaa wa Afrika, Wizkid aliiwahi kufanya collabo na Chris Brown lakini haijatoka bado, sasahivi kwenye list ya collabo zinazohit iko pia ya Davido Feat. Meek Mill ‘Fans Mi’.. iko hit ya Wizkid Feat. Drake ‘Ojuelegba’… kuna video ambazo wameziweka Alicia Keys na Swizz Beatz kwenye account zao za Instagram, wamejiachia kabisa wanacheza hits za Wizkid ikiwemo ‘Ojuelegba’,

Happy Feet jamming @wizkidayo

A video posted by Alicia Keys (@aliciakeys) on

This song makes me happy???????????? #goodvibes @wizkidayo ????????????????

A video posted by Alicia Keys (@aliciakeys) on

One of My fav artist rite now @wizkidayo Good Vibes #Culture #funtimes #BX

A video posted by therealswizzz (@therealswizzz) on

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments