Top Stories

UKAWA wamezungumza kwa mara ya kwanza toka Lipumba kaondoka… (+Pichaz)

on

DSC_0042

Tayari Vyama mbalimbali ikiwemo DP, CCM na TLP vimefika katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kwa ajili ya Wagombea wao kuchukua Fomu za Kugombea Urais kwenye Uchaguzi wa October 2015.

CHADEMA imetoa taarifa kuhusu utaratibu wa Mgombea wa UKAWA, Edward Lowassa kuchukua Fomu hizo, hii ni sehemu ya kilichoongelewa.

DSC_0041

DSC_0054

DSC_0048

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments