Top Stories

Dakika 12 kwenye Video kilichosemwa na Viongozi wa UKAWA baada ya Prof. Lipumba kuondoka CUF…

on

SALUM

Baadhi ya Viongozi wa Vyama vinavyounda Umoja wa UKAWA wamekutana Dar, kilichotolewa rasmi kabisa ni taarifa ya Ratiba ya Mgombea wao wa Urais, Edward Lowassa kuchukua Fomu ya Urais August 10…

Lakini hii ni mara ya kwanza pia linatolewa jibu kuhusu kinachoendelea kwa upande wao baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba kutangaza kujiuzulu nafasi hiyo kwenye Chama chake.

Unaweza kuicheki story yote kwenye hii Video kilichoongelewa na Viongozi hao mwanzo mpaka mwisho.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments