Top Stories

Maneno ya Edward Lowassa baada ya kuchukua Fomu ya Urais NEC kwenye video ya dakika 28

on

IMG_4022

Tumeshuhudia pichaz na video zilizonaswa jana kwenye msafara wa Mgombea Urais UKAWA, Edward Lowassa na wenzake walivyotoka Makao Makuu ya CUF Buguruni mpaka Posta kwenye Ofisi za NEC kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Urais.

Dad NGOYAI

Hii ni sehemu nyingine ya Video utakayosikia alichokisema Mgombea huyo baada ya msafara wake kuishia katika Ofisi za CHADEMA Kinondoni Dar Es Salaam.

Soma na hizi

Tupia Comments