AyoTV

AyoTV: Peter wa P Square kamzungumzia Diamond Platnumz na wanachotakiwa kukifanya Watanzania.

on

PeterPeter ambaye ni mwimbaji kutoka kundi la P Square aliongea na ripota wako Millard Ayo kuhusu Diamond Platnumz na kitu Watanzania wanatakiwa kufanya lakini pia amezungumzia kolabo yao, hii video hapa chini ina kila kitu alichokisema.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments