AyoTV

Full video ya mkataba mpya wa Bilioni 2 Ligi kuu Tanzania bara.

on

TFFKazi yangu ni kuzisogeza zote muhimu karibu yako… hii ni full video ya Press Conference iliyofanyika Dar es salaam ikiwahusisha TFF na Vodacom kuhusu kuongeza mkataba wa kuidhamini ligi kuu Tanzania bara.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments