AyoTV

Video ya magoli ya Simba vs URA Aug 15 2015! Full Time 2-1

on

MagoliAugust 15 2015 ilikua siku nyingine kubwa kwa mashabiki wa Simba na URA ya Uganda sababu timu hizi mbili zilikutana kwenye mechi iliyopigwa uwanja wa taifa Dar es salaam ambapo mpaka time inakatika matokeo ilikua Simba 2 – 1 URA, unaweza kutazama magoli yote ya Simba hapa chini kwenye hii video.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments