AyoTV

Full video ya Kinondoni Talent Search 2015 mbele ya Rais JK alafu Mpoki MC !

on

Kinondoni Talent SearchNi mashindano yaliyoanzishwa na mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda yakivitafuta vipaji vya Wachekeshaji, Dancers na Waimbaji ambapo Fainali yake ndio hii iliyofanyika Aug 15 2015, unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini ujionee…

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments