AyoTV

Video inayoonyesha Edward Lowassa alivyopokewa Arusha Aug 15.

on

EL 2August 15 2015 mgombea Urais 2015 kupitia UKAWA Edward Lowassa alikwenda Arusha kwa ajili ya kuomba wadhamini ambapo video hii hapa chini inaonyesha kwa juu tu watu walivyokusanyika kwenye huo mkutano.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments