AyoTV

Video ya kilichonaswa Party ya Dj wa Diamond na maneno ya Diamond kuhusu zile msg na Wema na DNA ya mtoto wake na Zari.

on

Diamond AyoTVIlikua August 17 2015 Dar es salaam kwenye birthday party ya Rommy Jones ambaye ni ndugu wa mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz vilevile ndio official Dj wake ambapo vilevile AyoTV ilimpata Diamond kwenye Interview akiongelea msg ambazo anaonekena kaandikiana na Wema, ishu ya kupima DNA kwa mtoto wake na Zari.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments