Ni nyumba simple ukiitazama kuanzia vilivyoko ndani, ni vichache na ambavyo kwangu vimenivutia sana… jamaa wametuonyesha kwamba Sebule nzuri sio lazima iliyojaa vitu vingi au picha nyingi na ukuta wenye rangi nyingi, kipi umekipenda?
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos