Michezo

Nilivyoyanasa kwenye video magoli ya Yanga vs Azam FC August 22 2015

on

Yanga 1 Timu nyingine mbili maarufu kwenye ligi kuu ya Tanzania bara, Yanga na Azam FC zilikutana kwenye mechi uwanja wa taifa Dar es salaam August 22 2015 ambapo game iliishia kwenye matuta, kwenye hii video hapa chini utajionea mpaka magoli yalivyofungwa.

Tupia Comments